Jumanne, 15 Oktoba 2013

JE,MUNGU NI NANI?

Hili ni swali nzuri sana. Kuna majibu mengi sana kwa hili swali. Watu wengine husema "Hakuna Mungu". Jibu lako kwa swali hili, litatambua jinsi unavyo wajali watu wengine. Tena jibu lako litaonyesha ni wapi utakapoishi baada ya hapa duniani. Jinsi tunavyo amini Mungu ni nani, hudhibitisha kama tunaabudu Mungu wa kweli au sisi wenyewe. Kama tunampenda Mungu, basi inatupasa tuwapende watu wengine. Kuna dini kubwa tatu hapa duniani. Sote hufundisha mafundisho tufauti. Kwa hivyo zote tatu haziwezi kuwa za ukweli.

Hebu nifafanue:

Dini ya KiKristo husema ya kwamba, "Mungu alikufa kwa ajili ya mwanadamu".
Dini ya KiIslamu husema ya kwamba, "Mwanadamu lazima afe kwa ajili ya Mungu".
Dini ya KiIndi husema ya kwamba, "Mungu ni yule ambaye unamweka kwenye mawazo yako".
Dini ya KiKristo husema ya kwamba, "Mungu alimuumba mwanadamu".

Dini ya KiIslamu ni sawa na kujiabudu.
Dini ya KiIndi ni sawa na kujiabudu.
Dini ya KiKristo ni sawa na Neema ya Mungu.

Kwa neema tunaokolewa kwa njia ya imani. Angalia WaEfeso 2:8. Sisi wote hufanya makosa. Kosa langu kubwa ni kumkataa Yesu Kristo. Nayo hatua yangu ya maana ni kumkubali Yesu Kristo kama Mwokozi wa maisha yangu. Yesu alimuuliza Petero, "Wewe husema mimi ni nani?"
Je! Wewe husema Kristo ni nani? Hebu angalia Mathayo 16:16. Jinsi unavyo jibu hili swali la maana sana katika maishani mwako, ndivyo itaonyesha maisha yako ya zamani, ya sasa na yajayo yatakavyokuwa. Je! Wewe husema Mungu ni nani?

Yesu anakupenda.

GodWhoIsGod.com

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni