Jumatatu, 28 Oktoba 2013

unabii; TB JOSHUA ATOA TAHADHARI KWA NCHI ZA AFRIKA MASHARIKI,"KUNA RAIS ATATEKWA NA KUTAKUWA NA MILIPUKO YA MABOMU KWENYE CLUB HIZI"!!!

Yule Mchungaji Maarufu kutoka Nigeria Ambae hutabiri mambo mbalimbali na kweli yakatokea TB Joshua jumapili hii ametoa utabiri mpya ambao unahusisha Africa Mashariki ...ameonyeshwa rais mmoja Africa Mashariki atatekwa na ameonyeshwa watu wakiwa club wanacheza nakisha wanalipukiwa na nchi iyo ni jirani na Kenya, Angalizo, amesema siyo kenya tena,itakuwa nchi
gani?
Misa ya jana jumapili ndo kasema, na amesema ataendelea kuomba ili jumatano na alhamisi ijayo aonyeshwe ni rais gani na nchi gani.
Jamani tuombe sana isiwe Tanzania

Maoni 2 :

  1. Yes we will pray for our Nation, and East Africa too, ( Worshippers family ministry)

    JibuFuta
  2. Mungu linda tanzania na watu wote humo!

    JibuFuta