okoka na wengine 62 wamebatizwa katika mkutano wa injili wa siku tano ambao umeandaliwa na kufanyika katika kanisa la City Christian Centre visiwani Zanzibar. Hizi ni baadhi ya picha za mkutano huo jinsi ulivyokuwa kama zilivyowekwa kupitia katika blog ya kanisa hilo la CCC Zanzibar.

Askofu Kaganga akitoa maelekezo kwa waongofu wapya.

Siku ya mwisho ya mkutano.
Askofu Kaganga na Askofu Simon Masunga wakiongoza maombi wakati wa mkutano
www.mwakasegebibilia.blogspot.com
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni