
Baada ya kumaliza uwanja wa reli, vitu vikifungashwa
Baada ya kibali kumalizika eneo la uwanja wa reli, sasa mji utahamia upande mwingine wa Unga Limited, kwenye eneo linaloitwa Engo Sheraton. Tazama baadhi ya picha za eneo hilo ambao siku ya jana maandalizi yalikuwa yakiendelea ili kulisawazisha na kuliweka tayari kwa ajili ya msosi - msosi wa kiroho.

Watenda kazi wakishusha vyombo tayari kuvipanga

Mojawapo la gari lililoleta vyombo. Ndio Juhudi zenyewe (kupokea baraka) kama lilivyoandikwa
Kwa picha zaidi, tembelea ukurasa wa facebook wa ufufuo
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni