Jumatano, 23 Oktoba 2013

JE,WAJUA; Si Mke mwema tu, hata mchumba bora hupatikana kwa Bwana!!?



Habari SG,
Jamani kuna shuhuda nyingine si tu zinasisimua/leta raha rohoni mara tu uzisikiapo lakini pia zinakua challenge/ somo kabisa la kutendea kazi na ku-share mara moja ili kusaidia/kubariki na wengine. Pia zinafanya hata mtu unashangaa na kupenda jinsi gani Wapendwa wanapoamua kutembea na Mungu na kumtumikia inavyopelekea Bwana naye kufurahi kua na mambo yao toka hatua za mwanzo kabisa.
Kila mmoja wetu anajua kua Bible inaongea sana jinsi ya kupata Mke kuliko Mume na maandiko maarufu ni kama-‘’Mithali18:22-‘’Apataye mke apata kitu chema; Naye ajipatia kibali kwa Bwana’’ na Mithali.31:10-’’Mke mwema( Kiswahili imetumia neno moja tu .’’Mwema’’ lakini Kiingerea ktk Bible mbalimbali imetumia maneno mengi yenye nguvu ya ajabu na kushangaza kujua kumbe Mwanamke mtarajiwa kua Mke ni kitu kizuri na cha ajabu sana hasa aliyetoka kwa Bwana.Maneno yaliyotumika ni kama.’’ wife of noble character’’, ‘’capable’’, ‘’intelligent’’ ‘’virtuous woman’’, ‘a competent wife’’, ‘’worthy woman’’), ni nani awezaye kumwona? Maana kima chake chapita kima cha marijani. Tena Biblia ya King James na New King James ndizo zimetumia neno ‘’Virtuous woman’’( notice: Ni woman!) na maana ya neno ‘’Virtuous’’ ni ‘’good’’, ‘’moral’’, ‘’ethical’’, ‘’upright’’, ‘’honourable’’, ‘’excellent’’, ‘’pure’’, ‘’worthy’’, ‘’honest’, ‘’righteous’’, ‘’exemplary’’, ‘’squeaky clean’’, ’’blameless’’, ’’praiseworthy’’, ‘’incorruptible’’, ’’high-principled’’), pia Mwanzo.24:1-67. Katika Agano Jipya, tunakutana na neno kuchumbia au Mchumba wazi wazi ktk Luka.2:5 ingawa hatuambiwi Joseph alimpataje mdada Mary. Kwakua ni ivyo kwamba Bible imeongolea sana kupata Mke mwema ambaye anapatikana tu kwa Bwana, mchumba bora je anayepelekea mke mwema, tunampataje? kwa kizazi chetu cha leo Agano jipya ambapo hatuchanguliwi Wachumba/Wake zetu na na wapendwa, Viongozi wa Kanisa. Wazazi kama zamani,tunafanyeje kua salama? Karinu soma ushuhuda mfupi ufuatao bila shaka kuna jambo Bwana atasema nasi.
USHUHUDA: Ni kijana mwenye bidii ya kazi ya Bwana na mpenda mambo ya kanisa, maongozi na mipangilio ya Wachungaji wake.Amekaa kanisani muda wa miaka kumi toka aokoke na imefika wakati sasa anataka kuachana na ukapera.Katika kukaa kwakwe kanisani na kushiriki mambo mengi,amefahamiana na wadada wengi kwa sababu iyo toka aanze kuwaza kuoa uku akiendelea na maombi na huduma, binti sayuni mmoja anaitwa Magret akawa anakuja-kuja sana ktk akili na nafsi yake na taratiibu akaanza urafiki wa kawaida lakini yeye anajua anacholenga. Akaendelea na maombi na huduma na shughuli za kanisani kama kawaida. Siku ya siku akasema, yatosha maombi na sasa ni wakati wa kwenda kumtamkia mdada uyo. Akiwa njiani kwenda na hata alishamwambia mdada mhusika kua wakutane mahala ‘’kuna ishu moja anataka kumtaharifu’’, ghafla moyoni akasikia mdada mwingine kashuka/kaingia na sauti hapo hapo inasema naye moyoni..’’ Magret hatakua mkeo bali Anna’’. Da! Kijana akashangaa kweli, akadhani ni mawazo au devo! Akavuta hatua kuendelea kidogo ghafla tena sauti ile ile.. ’’ Magret hatakua mkeo bali Anna’’.Kitu cha ajabu kingine ni kwamba, wakati sauti inasema naye, hapohapo akasikia love( falling in love) hamna mfano kwa Anna! Anasema hajawahi penda ivyo ghafla ingawa pia wanafahamiana naye Anna kwa miaka ktk huduma ya watoto ( Sunday school). Kijana akageuza kurudi kanisa kuingia chumba cha maombi na kumuuliza Mungu imekuaje? Wala hakusikia tena sauti bali ni growing love na peace ambayo hana jinsi ya kutoisikia/hisi-imejaa na inakua..Aliamua kwenda nyumbani na kupumzika. Anapoamka tu kwenda kanisani, ni love na amani ya ajabu inawaka ndani juu ya Anna and no more to Magret, lo! akajaribu kufanya maombi Bwana amsaidie kujua ni kweli ni Anna na love and peace anayosikia ni Yake Bwana au kibinadamu? ( ingawa kwa dalili zote. Alijua ni Mungu anafanya jambo ila kibinadamu akawa anasitasita tu. Aliporudi nyumbani, kilichotokea kilimshangaza kuliko kawaida..ghafla simu yake inalia…kuangalia kuna msg imetoka kwa binti sayuni Anna ikisema’’’Asante Yesu kwa kunipa Mkaka Mzuri mtumishi wako’’, alipoisoma hakuamini!!!!!!! akiibeba simu yake moja kwa moja mpaka kwa shemasi na kumwambia story nzima na ile sms. Shemasi hakua hata na muda wa kupoteza, akata shauri lile na leo hii Anna ndiye na Magret siye-atangoja wake.
Kwakua Mke mwema anapatikana/anatoka kwa Bwana basi vivyo ivyo kwa nini isiwe hata Mume na pia mchumba?.Na kweli ingawa Magret,Anna, wote ni wadada wa nguvu ktk kanisa na utumishi lakini kujua hasa ni nani kati ya hao maana wote wana viwango tu kiimani na kikanisa/kiushirika,hakika Roho Mtakatifu inabidi ahusike, otherwise, it is confusions out of so many blessings maana wote wanafaaa na wanalipa maana wana mpenda Yesu na wako serious ktk utumishi na wokovu na wanakwenda mbinguni.

Maoni 2 :

  1. Maisha yangu Maajabu yanashangaza ushuhuda, Jinsi nimepata kisanduku chenye nguvu sana ambacho sasa ni pesa yangu mara mbili kutoka mia hadi elfu ya pesa ndani ya masaa 24, na pia jinsi nimerudisha mpenzi wangu wa zamani, sababu kuu niliwasiliana na Dk Lomi kwa msaada mimi kumrudisha mpenzi wangu wa zamani, basi ananisaidia ni nguvu kubwa ya kumrudisha mpenzi wangu wa zamani, na ananipenda na ananithamini sasa, basi mimi na Dr Lomi tukawa marafiki, baada ya mazungumzo kadhaa namuuliza ikiwa kuna njia anaweza kuniganga ili nipate pesa, hapo ndipo aliponiambia juu ya sanduku hili la uchawi, akaniambia kuna aina na saizi tofauti ya sanduku, aliniambia aina zote za sanduku, ningeweza kumudu ndogo tu ya sanduku, baada ya maombi muhimu anayofanya kwenye sanduku, ananipeleka kupitia huduma ya kujifungua, aliniambia niweke pesa ndani, niliweka ndani ya sanduku 100 euro baada ya masaa 24 nikagundua ilikuwa elfu 10 euro ndani, na nimekuwa nikitumia sanduku kwa miezi 7 sasa, mimi na mchumba wangu tunaishi maisha bora, ikiwa unahitaji b ack mpenzi wako au pesa spell wasiliana na Dr Lomi kwa barua pepe: lomiultimatetemple@gmail.com au WhatsApp namba +2349034287285 unaweza pia kumwandikia kupitia Jina la Mtumiaji la Snapchat: drlomi20 atakusaidia nje, asante kwa kusoma>

    Kwaheri Gerd Ulrich

    JibuFuta
  2. Kwa zaidi ya miaka 13 ya ndoa sikuweza kuzaa, naendelea kuharibika hata nikipata mimba, madaktari wote hawakuweza kunisaidia, hadi dada yangu akanielekeza kwa Dr DAWN, ambaye alinisaidia nikapata ujauzito na sasa hivi kuwa na mtoto mzuri wa kike,
    Anasaidia pia marafiki zangu wengi niliowaelekeza, Dr DAWN ni baraka kwa kila mtu anayewasiliana naye,
    *Kama unataka kupata mimba.
    *Ukitaka kuacha kuharibika kwa mimba.
    *Ukitaka kumrudisha mpenzi wako.
    *Kama unataka mume/mkeo arudishwe.
    *Kama unataka kurejesha mali yako iliyoibiwa au Pesa.
    *Ukitaka kutibu aina yoyote ya ugonjwa,
    Wasiliana naye kwa WhatsApp: +2349046229159

    JibuFuta