BLOGU HII NI KWA AJILI YA HABARI ZA UFALUME WA MBINGUNI TUU YAANI INJILI.
Inamilikiwa na Huduma ya KIINJILISTI YA MWANAKONDOO Katika Uongozi wa Mtumishi Oscar Samba.
MAMBO YA GLORIOUS CELEBRATION "WAKAWAKA" NDANI YA MBEYA
Usiku wa kuamkia leo kundi la Glorious Celebration ama waite "Wakawaka" kutoka jijini Dar es salaam, limefanya tamasha kubwa la kusifu na kuabudu katika ukumbi wa Mkapa Hall uliopo jijini Mbeya wakisindikizwa na Shekinah Glory Band. Hizi ni baadhi ya picha kama zilivyopigwa na John Kuyokwa.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni