Alhamisi, 19 Septemba 2013

MKUTANO: MBULU KWA YESU, MKUTANO WA INJILI WABADILI JAMII

Hakuna jambo jema kwa muhubiri yeyote anapohubiri na kwisha mwisho wa siku watu wanaamua kukata shauri na kumpokea Yesu kama kiongozi wa maisha yao. Na hivi ndivyo Gospel Kitaa imeshuhudia wakazi wa Mbulu wakipata Neema ya kuhudumiwa kupitia mkutano ulioandaliwa na kanisa la PAG, ambao utaendelea hadi siku ya Jumapili.

Jumatano ilikuwa siku ya kwanza, na zifuatazo ni picha za kilichojiri siku hiyo.




Wakazi wa Mbulu wakifuatilia kwa makini na kupokea unabii kutokea jukwaani.

Charles Festo wa Manyara Band akiwajibika kumtukuza Mungu
.WWW.MWAKASEGEBIBILIA.BLOGSPOT.COM






Isaya Nichodema wa Kansa la Pentekoste Arusha akiwakumbusha watu kuhusu ukweli, ya kwamba unauma. Kama ni mtenda dhambi basi moto unakusubiri.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni