Jumatano, 9 Aprili 2014

UMOJA WA KUJISOMEA BIBLIA UGANDA WAUNGANA NA SERIKALI YAO KUPINGA USHOGA

Umoja wa kujisomea Biblia nchini Uganda (Scripture Union) umeiunga mkono serikali ya nchi hiyo katika vita dhidi ya watu wanaofanya mapenzi ya jinsia moja. Kupitia makongamano yao umoja huo umekuwa mstari wa mbele kupinga vitendo hivyo kwakuwa ni kinyume na Biblia lakini pia ni kinyume na tamaduni za Kiafrika.

Hizi ni picha mbili zikionyesha mmoja wa viongozi wa umoja huo nchini Uganda akimalizia kuandika bango la kupinga vitendo vya watu wa jinsia moja.


Hakuna maoni:

Chapisha Maoni