Gospel Kitaa kama kawaida ilikuwepo kwa ajili yako, kama ulitamani kuja lakini hukufanikiwa, pengine ulikuwa 'Canada' au 'Benin', basi picha hizi ni za awali, endelea kutembelea kwa ajili ya picha kedekede za ziada na hata video za tukio hilo. Kama ulikuwepo, basi na tujikumbushe na kisha utuandikie maoni ni muimbaji gani alikugusa sana kwenye tamasha hilo.

Ni mwendo wa mfululizo, wimbo hadi wimbo. Prophet Keke punde baada ya kupanda jukwaani

Son of Tanzania, Ephraim Sekeleti

Babu na nani? Senior bachelor? mi sijui, ila hawa ni Philemon Rupia na Anthon Joseph wa WAPO Radio FM.

Baadhi ya kinadada wa GWT... glory glory..


'vocalists' wa Keke


Kekeletso

Edson Zako


Kila mtu kwa raha zake

Baadhi ya umati uwanjani hapo

mtu na 'wajomba'zake

Moja kwa moja kutoka London nchini Uingereza,

Rose muhando, akiwatahadharisha watu kwa kibao chake kipya cha 'fesibuku'.

Kwani ni jambo lipi hilo yeye asiloliweza? Sarah K anauliza..
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni