Zamu hii wakati Ufufuo na Uzima wakiwa kwenye jengo ambalo watakuwa wakilitumia kama kanisa la mkoani humo, mtumishi wa Mungu kutoka Sweden, Mwinjilisti Johannes Amritzer atapiga kambi kwa takriban siku tano, kutakuwa na sherehe ya miujiza.

Pamoja na kuhubiri matendo makuu ya Mungu, waimbaji kadha wa kadha watakuwepo wakiwemo Anne Annie, Kilimanjaro Gospel Choir, na wengineo wengi. Kupanga kukosa ni sawa na kutoroka usipate uponyaji wako.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni