Jumamosi, 16 Novemba 2013

HABARI PICHA: APOSTLE NDEGI AHITIMISHA SEMINA ST AUGUSTINE MWANZA


Jiji la Mwanza limepata Neema ya Injili, ambapo wanachuo wa chuo kikuu cha Mtakatifu Agustino wamepata fursa ya kufundishwa na kuhubiriwa kuhusu njia ile nyembamba iendayo Mbinguni, ambapo apostle Ndegi wa kanisa la Living Water amekuwa huko kwa takriban wiki nzima.

Nasema ni Neema kwa kuwa kwenye miji ambapo wanachuo wanakuwepo, huwa kuna kila aina ya tabia, na kama zisipoangaliwa, nyingine huwa ni hatarishi kwa namna nyingi tu. Basi tazama hitimisho la semina hiyo kama ambavyo picha zimeletwa kwenu kwa hisani ya Tunu Bashemela.











Hakuna maoni:

Chapisha Maoni