Tazama picha japo kwa uchahe, GK itakupasha kilichojiri kwa upana ikiwemo video za tukio hilo


Barikyiz na Paul Clement


Blogger Rulea Sanga akizungumza jambo pembeni Paul Clement akimsikiliza

Hakika ilipendeza

MD wa GWT Immanuel Mabisa akiliungurumisha bass

GWT wadada wakienda kizimbabwe zaidi.



Ndani ya uwepo wake ni rahaa







Uwepo wa team GK ulitambulika jana usiku, Ambwene sambamba na Silas Mbise.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni