Jumanne, 18 Machi 2014

WORSHIP IN THE TABERNACLE KATIKA PICHA

Siku ya jumapili ya tarehe 16 march, muimbaji wa nyimbo za injili Bomby Johnson alifanya kile alichokuwa akikitamani kukifanya, kwa kuaanda ibada ya kusifu na kuabudu ambayo aliipa jina la WORSHIP IN THE TABERNACLE. Ambayo ilifanyika VICTORY CHRISTIAN CENTER TABERNACLE (VCCT)
Zifuatazo ni baadhi ya picha za tukio jinsi lilivyo kuwa, japo kwa uchache huku waimbaji mbalimbali wakiungana na Bomby Johnson
WANAMUZIKI WALIJIPANGA VYEMA















MISE NA MOSES WALIFANYA VYEMA KTK SAXOPHONE







Upendo Kilahilo akajiunga nao

Upendo Kilahilo

Upendo Kilahiro akituma vocal





John Lissu na team yake



PAUL CLEMENT NAYE ALIKUWEPO




ILIKUWA NJEMA

Pastor Huruma Nkone wa VCCT








MA-MC WALIPENDEZESHA SAFI

Fred Msungu na Sam Sasali

BOMBY JOHSON NA TEAM YAKE
















Kwa leo tuishie hapa tukutane tena katika matukio mbalimbali. kumbuka ku-like ukurasa wetu wa facebook uitwao Gospel Kitaa. Shukrani endelea kuwa pamoja nasi

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni